Ondoa shaka ankaliAnkali angalia watu hawa[emoji15]
Ohooo[emoji15][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mkanda wa sindilia
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
fuata maneno yake Mkuu na si matendo yake!Kuna dada yangu mmoja ilikuwa kila nikionana nae ananihubiria habari za kuolewa nikakata mguu. Cha ajabu yeye ndoa mbili zimemshinda