Kiukweli Alikiba Ametukwaza sana sisi mashabiki zake, sasa ndio video gani hii Ameenda Kushut Mstuni kama Nyani,. Kama hana hela bora angesema tumchangie Asee