Sijaonja ya mapacha ila threesome nimepitia na warembo, ni poa kama wanakuonjesha ila msizidi zaidi ya hapo maana huko mbele utakoma mkiwa na string attached halafu yaje ya kuja.
Kuna rafiki zangu wawili, kila mmoja na mamake, lakini mama zao ni mapacha.
Wanasema baba yao mmoja, kwakuwa mama zao wameolewa na baba mmoja na wanaishi kwa upendo wa hali ya juu.
Zamani Niliwahi ona hapa Dar, jamaa amewaoa ndugu wawili ambao siyo mapacha wanaishi kwa amani na upendo.
Kama dini yako inaruhusu nadhani unaweza kuwaoa tu bro