Bado yupo jimboniImefikia wapi??View attachment 2096195
Ulishaonja hiyo kitu bro?Ni tamu pale mnaanza ila huko mbele yakija ya kuja utakua unapata vurugu za double double.....kwanza wenyewe wakigombana na kuchukiana ndio mtihani utakuangukia uombe uikimbie dunia.
2015.ZilipendwaView attachment 2096209
Siuji nafeli wapi mimi!?Mc PilipiliView attachment 2097295
Wanalichafua jeshi la polisi kwa uroho wa mali.Karma [emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 2096324
Alien [emoji23]Huyu jamaa vp tenaView attachment 2097302
Kumbe ndio hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hiyo style ni balaaa...hii sii ndio msomali kafia kwenye fiat[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulishaonja hiyo kitu bro?
[emoji1787]Alien wa buza [emoji1787]Alien [emoji23]
"Nitajitahidi kushirikiana na waandishi wa habari, ikibidi tutaendesha kozi ili kuboresha uwezo wao.Kwenye taaluma ya uandishi wa habari picha kama hii inaruhusiwa kuwekwa kwenye gazeti?
View attachment 2096327