Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
FB_IMG_16428490730899105.jpg
 
Muone! Tena huyo mvunja miguu mwambie kuwa nambipu [emoji16][emoji16][emoji16]

Supu hii haina recipe. Ni kuchemsha tu na kutia pilipili kidogo basi kwisha. Nakuomba tu uje na chapati...
Kuwa mwangalifu tu nawe usijevunjwa miguu hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi sawa kumbe hupendi supu ya kuremba remba.Nitakuandalia supu ya mlenda[emoji39][emoji16]
 
Back
Top Bottom