Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama unaclear mwenyewe hapo big up sana mkuu, kuna siku nilikuwa nakutana na mtu kutokana nayeye alikuwa amewahi eneo la tukio nkamwambia basi anywe hata soda nikija hapo nalipa halafu kipindi hiyo nimefulia majanga kibao, nikakuta ameagiza na chipsi yai na samaki juu[emoji16][emoji16] nilimletea noma pale mpaka jamaa wa chipsi akawa ana wasiwasi kama atalipwa ikabidi aingilie kati kunibembeleza[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…