Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwan we Nani Toto Zuri[emoji2957][emoji2957]
255782450077_status_ec65c0718cba4e7e9a77d326d411127d.jpeg
 
Jinsi ya kujua watu wanaofuatilia namba yako kwenye group

Ingia kwenye group
Juu upande wa kulia kwa simu yako utaona vidoti vitatu
Bonyeza hapo, kisha bonyeza kwenye neno lililo andikwa More,
Chagua neno report
kisha haraka haraka bonyeza tena report
Utaziona namba za wanaoifatilia sim yako
Ushindweee. Kidogo nijitoe kwenye group [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom