Acha wamnyoroshe. Watammalizia vidola vyake vyote mpaka arudi kwa kuogelea!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi mmeanzaje kutuweka watu wa njombe kwenye memes...hamna hata adabu
Ndio hapo sasa, angalia kwanza simu yako iko wapi...kama iko chumbani nakushauri usiingie kabisa. Vaa viatu nenda miguu itakapokupelekaIla kweli. Unaweza kuta ndo unakwenda kushindiliwa jisu kifuani au kumwagiwa petroli na kutiwa kiberiti [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kashaishiwa[emoji23]Acha wamnyoroshe. Watammalizia vidola vyake vyote mpaka arudi kwa kuogelea!
Kuna maelezo hayahusiani kabisa na kazi ya ushamba boi....ila jimama zuri. Ni ule weusi wa mtelezo. Extremely sweeeeet! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji445]
Huyo shamba boy mmh
Aisee nimefurahi sana. Zamu ya Wakinga sasa. Na Makambako Kitisi. Siyo kila siku Wasukuma tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi mmeanzaje kutuweka watu wa njombe kwenye memes...hamna hata adabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee nimefurahi sana. Zamu ya Wakinga sasa. Na Makambako Kitisi. Siyo kila siku Wasukuma tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2090189
Wakifika chuo....
Ni kweli Mamkubwa na Tena watukome,wakiendelea na hii Tabia nitaenda kuwalogea Nyumbanitu Ebooooo![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi mmeanzaje kutuweka watu wa njombe kwenye memes...hamna hata adabu