Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
USED double.
USED double.
[emoji16][emoji16][emoji16] halafu kuna mimi mwenye vyote
Hiyo ni kujipaka maji siyo kuoga[emoji23]Daah foleni ya kuoga hiyo
Wamekosa tu plan nzuri. Kuna nyumba nilikaa tulikuwa wapangaji nane na mwenye nyumba wa tisa, ilikuwa ukitoka na maji ukakuta mtu anaoga unamwambia ukitoka nishtue, unaacha maji yako unaendelea na mambo yako, akija mwingine hivyohivyo anakuambia unayefuata...hatukuwahi kugombana kwenye hiloHiyo ni kujipaka maji siyo kuoga[emoji23]
Hahahaha[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2088514
funzadume huyoView attachment 2088481Pale Mbuzi wa Samia anapokata Kamba👇😁View attachment 2088479