Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Human farming [emoji16]
BOra huyu mzee katoa makavu live. Hamjuagi tuu nyie watoto wa kike baba zenu inatuuma sana miaka inaenda huolewi. Tunajua tuu lazima kuna lijaa linakukunja kunja mikao tofauti lakini no ring. Inauma sana[emoji47][emoji47][emoji47]View attachment 2067508
Dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]BOra huyu mzee katoa makavu live. Hamjuagi tuu nyie watoto wa kike baba zenu inatuuma sana miaka inaenda huolewi. Tunajua tuu lazima kuna lijaa linakukunja kunja mikao tofauti lakini no ring. Inauma sana
BOra huyu mzee katoa makavu live. Hamjuagi tuu nyie watoto wa kike baba zenu inatuuma sana miaka inaenda huolewi. Tunajua tuu lazima kuna lijaa linakukunja kunja mikao tofauti lakini no ring. Inauma sana
Kaka binamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimuiteje sasa? Mpenzi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
😄😄😄 atauzia nani
Haha
Sio kwamba tunalazimisha not at all but huwezi kusema eti a caring father hapati disappointment kiwa mtoto wake wa kike yupo yupo tuu haolewi inauma bwana. It sends the message kuwa mtoto wangu anagegedwanhovyo hovyo tuu. That reflects poorly on me the father.Kwa enzi za kisasa sioni haja ya kumlazimisha binti aoelewe, wewe muwezeshe kielimu na kama unao uwezo mpe hadi mtaji ajipange, haya mambo ya kulazimisha yanasababisha wanawake wanateswa sana kwenye hizi ndoa.
Binti wangu yuko chuo na nimepanga lazima apate mgawo wake wa urithi sawia na wanangu wa kiume.