Nilijifungia magetoni nikachukua pic moja nikavuta mmh lakini naona sioni mabadiliko nikasema aah ngoja nimalize yote nione bas nikamaliza yote.
Wakati nishamaliza sasa,Nikasema aah hakuna mabadiliko yoyote ngoja niende zangu kwenye mazoezi yasanaa
Nikatoka nje nikafunga mrango ila nikaangalia funguo zangu nikasema apana nikienda nazo bangi ikipanda nitazipoteza basi nikafungua kidirisha changu kidogo nikarusha funguo zangu mvunguni.
Nikaenda zangu kwenye mazoez ila nilipofika naona wanafunz wenzingu waliponiona walishangilia sana nikasema mmh awa itakua wamevuta bangi
Nikapita zangu nikienda kwa teacher kuriport ila nilipofika tu mwalimu akashanga sana nikamsalimia nikamuambia mwalimu nikuja kufanya upererez wamauwaj lakini mwalimu akawa aminishangaatu nikamuambia au we ndomuuaji alichonijibu nilichanganyikiwa sana ndomana bangi sivut tena alinijibu ivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.