Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20190920_154441.jpg
 
Nimeshindwa
Background ya hiyo picha inatatanisha kwa haraka unaweza ukadhani kua ni kioo lakini ukiangalia utaona mwanamke ameangalia upande mwingine na huyo jamaa kaangalia upande mwingine wakati hiyo picha halisi wanaonekana wote wakiangalia upande mmoja
 
Back
Top Bottom