That another vig.. [emoji23]Watu mlishakulana mpaka mkachoka eti mnakwenda hanemuni. Kupoteza hela tu [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2051949
[emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
Khaaa[emoji3526][emoji120]View attachment 2051955
Jamaa kaachwa mpaka amechanganyikiwa dah![emoji16][emoji16][emoji16]
Wanashangaza sana hawa....ila pia wapo wanaume wana huu ujinga kuelekea michepuko yao...eti wasiwe na wanaume wengineMwanamke mwingine kivipi wakati mwenyewe mchepuko? [emoji706]
View attachment 2051938