Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
Mwenye swali kuhus fundi aniulizeView attachment 2036451
Hyo kofia inazuia nn sasa maana kichwa yote iko nje......
Mwenye swali kuhus fundi aniulizeView attachment 2036451
Kwa lugha ya leo ni sawa na kusema haina nomaHahhaah hivi huu usemi una maana gani lakini?![]()
Dada hilo swali watuuliza sisiiii?!View attachment 2036389
Mkuu si unajua akili za kibangibangi tena.Hyo kofia inazuia nn sasa maana kichwa yote iko nje......
Pambana mkuuNgoja nitafute hela aisee kwa shari au shwari, nimenyeshewa mvua asubuhi hii mfano hakuna!
"Kama mnanionea wivu mje mniue"-- Dr Kasheku Msukuma