Kenya, Uganda, South Africa zimeingizwa ki magumashi hapo.
Nchi tatu za Afrika mashariki, Kenya Uganda na Tanzania hazipishani sana.
Labda utafiti wao kuhusu Tanzania waliufanyia mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe.
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu - angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk...