Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwa hiyo kumbe huku kwetu hamna kitu kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2035093
Hiyo moja na mbili jamaa hajakosea kabisa. Hao wanawake ni warembo balaaa.

Tungeenda kwa wanawake wanaongoza kwa misambwanda sauz afrika wangeongoza.

Sie tungeongoza kwa wanawake wenye misambwanda na matumbo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…