Hii kweli kabisa. Uwe unadai chenji tena basi la mkoani konda anazunguka huku na kule. Kimuhemuhe chake sio cha kitoto
Familia nyingi siku hizi hovyo tu...mpaka unashangaa kama kweli watu mlizaliwa tumbo moja [emoji706]Bongo wengi wanga,wanafurahi machoni Ila moyoni anaumia balaa kuona umemzidi.
Tuombe Sana Mungu atusaidie kuwaepuka wanafki.View attachment 2032567