Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,755
- 122,285
Wagombea watatu wa urais wa CCM mwakan1995, wakiwa kwenye kikao maalum cha kuwachekecha.
Mkapa aliibuka kidedea.
Ulikuwa wapi wakati huo?View attachment 2034132
Shule ya mfano Wilayani UlangaView attachment 2034267
Mkuu umekula chumvi za kutosha[emoji120][emoji120]Mtibwa Morogoro, na nilimpigia Kura Mkapa akawa Rais wa JMT. Matukio makubwa ninayoyakumbuka baada ya uchaguzi ule ni kupanda kwa bei ya Sukari[emoji23], pia zilishuhudiwa Mvua za El-Nino na kuzama kwa Mv Bukoba[emoji17]. Yapo mengi, itoshe kwa hayo machache.
Huyo mganga ni magumashi.
Hahahaha[emoji23] kakutana na kiboko yakeHuyo mganga ni magumashi.
Anatapeliwa anajiua wakati anamiliki uchawi!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Amroge huyo tapeli ili mambo yaishe
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Ankali sina cha kusema.Unataka kusemaje anko[emoji3]
Basi ata mie najua ni mkaka[emoji41]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app