Mkuu, unaruhusiwa kuitafuta hio 'Aya' usome tafsiri yake, utaipata kwa kiswahili fasaha. Kwenye 'aya' zake zote hutaona inataja kumpa mtu hela kwa kutumia kuku wala sindano au hata kuokota!. Hizo ni 'Shirki' kama shirki nyingine watu wanazifanya kwa mgongo wa vitabu vitakatifu. Epuka shirki!.