Amen, namshukuru Mungu hata sasa napumua.....mana juz nlipata ajali mbaya saana lkn nashukuru Mungu naendelea vzur. Gar imeharbika mnooo(me n dereva wa malori) lkn nashukuru Mungu nmetoka salama ingawa nina maumivu ya hapa na pale lkn nitakuwa sawa.