Tulikua mwenge stend ya zaman jamaa alidondoka kifafa.
kilikua kipind cha mvua vidume wote tulimkimbia mshkaj kwa dhana kwamba akijamba ushuz wake ukiupata haruf anakuambukiza,
akatokea mdada modo kajitanda vzr tu muonekano wa visiwan akamfunika na mwamvul yule jamaa mpaka alipopata fahamu,
binafs nilijiona dhaif mno hata mdada kanishinda ujasir.