babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,752
Nitaua mtoto wa mtu
[emoji23] ngosha unamtakia nini huyo chapombe?Mwenye contact na huyu mwanamke naomba pulizi...
View attachment 2023427
Tumepotezana miaka sasa. Hujambo?[emoji23] ngosha unamtakia nini huyo chapombe?
Sijambo sana, hofu kwako!Tumepotezana miaka sasa. Hujambo?
Nipe contacts zake kama unazo. Napenda sana wanawake wenye msimamo kama huyu [emoji16][emoji16][emoji16]