Hizo kazi wanazifanyaja WANAUME KWA wake zao
Ntamuuliza over kitu GANI?
Tuko huku tarime na koromije
Hahahahaaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh [emoji849][emoji849]Tuko huku tarime na koromije
Amefanya kitu kizuri sana.Alijua tu ndugu wote watahamia kwake kulia lia [emoji2][emoji2]View attachment 2021392
Nmeipenda hiii 😎Walevi kazi kwenuView attachment 2020651
Aseeee mbona amekomaaa hv jameni 😳Anatafuta mchumba mweusi mwenye hogo. She is a millionaire...Katangaza kabisa laivu. Ana miaka mitatu hajaguswa wanaume wanamwogopa.
View attachment 2020997