Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hi guys[emoji1367], I think November will be the last month for me to be in Tanzania, tutaonana kwa wale ambao tutaweza kuonana coz nimepata green pastures and I will be travelling to England on 6th DECEMBER. I will be gone for FIVE years and i will miss u sana pray for me & I will pray for you too. May God be with you all. Please forward to those who know me, ata mi nimeforwadiwa from those who know me sijui nani anaenda.[emoji23]
Nilitaka kukwambia ukitaka kampani huko ughaibun usinisau mimi hapa kutuma na yakutolea nije huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji849][emoji16]
FB_IMG_1637556902522.jpg
 
Amepona. Si alikuwa JK Heart Institute huyu juzi juzi hapa akisema "Niko 70% perfect you know. Executive Suite kwenye Jakaya Cardiovascular Institute you know. Gharama sana kuwa kwenye Executive suite you know. Vijana chapeni kazi you know. American spirit you know [emoji16][emoji16][emoji16]

Nampenda kwa jinsi alivyoamua kuishi maisha yake ukizingatia familia aliyotoka - hata kama ni mtoto wa nje...
Naona kapona maana hiyo amepost leo.
 
Back
Top Bottom