[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimemkumbuka ingawa kwenye ubunifu wa picha hakuwa peke yake.
Pamoja naye kulikuwa na mkongwe aliyejulikana kwa jina la Philip Nduguru RIP.
Ndugu Mbajo baadaye alianzisha jarida lake ambalo hata hivyo halikutamba.
Baadaye alipata kazi kwenye Kanisa moja hapa mjini akiwa kama msemaji wa Askofu.
Amepotea muda mrefu kwenye tasnia ya majarida
Ilikuwa tuanze kuuza umeme nje ya nchi kuanzia mwaka 2014. Sijui tulikwama wapi [emoji848][emoji848][emoji848]Serikali ya CCM miaka kadhaa iliyopita ilitamka bayana kuwa MGAWO WA UMEME UNGEKUWA HISTORIA. Sasa sijui kinachoendelea ni JIOGRAFIA, SAYANSI KIMU, AU SIASA?View attachment 2015608
Mbuza...