Kalast born ketu haka, anakuambia dada nikune tumbo lnaniwasha 😤 yan alikuwa ananivuruga uwiiiii.......mpka sasa hv yuko la 7 yan bado ameharbika maji lit 10 hawez kubeba na hiv n kembambaaaaaa na kadogo dogo bas tunamlea lea. Wali tunapka bokoboko hawez tafuna wali ule ulochambuka hahahahahhaah.Nitakupa kerebu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2010616
Beberu limenona,wanatumia vigezo gani kumtambua mwenye nataka kujilipua nilichukue kwa ajili ya matumiz siku ya sherehe ya uzao wa jamaa wa NazarethMakamanda wanamsubiri kwa hamu mwenye mbuzi ili akabidhiwe mali yake kwa uaminifu mkubwa [emoji847][emoji847]View attachment 2012975
Mwamba katisha sana
Unajivunia kuwa bikra wakati ziwa limelala/anguka[emoji3]
[emoji23]zinaitwa mbigiriYaani we acha tu....
View attachment 2010408
Vimba mpaka upasuke[emoji23]U ingwa wetuView attachment 2013691
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Vimba mpaka upasuke[emoji23]
Hahahahaha