Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kama hili?Una bahati huendeshi ma Yutong. Yutong ya ukweli ukijichanganya ukabebeshwa mamiguu namna hiyo utachemsha...now I see why you prefer hungry emaciated galz
Picha haijafungukaKama hili?View attachment 2009628
Umenikumbusha nilivyokuwa darasa la tatu tulipangwa wanne kwa dawati moja bahati mbaya dawati zote zikaenea nikabaki mimi pekee yangu, mwalimu akaniambia nitafute dawati lolote nikae.