Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1636674762018.jpg
 
Kwa hiyo Bwana Ndugai anatuona sote ni wabunge wa kuweza kutupangia nini cha kuzungumza dhidi bunge linaloketi Dodoma kwa kodi zetu? Mamlaka yake yanaishia kwa Wabunge tu. Kama bunge ni dhaifu litabaki kuwa hivyo; na katu ukali wake kwa wakosoaji wake hakulifanyi kuwa na nguvu.
Halafu anapambana na akili kubwa sana
Screenshot_20211110-151231_Instagram.jpg
 
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wanamshikilia mtu mmoja mwenye umri wa miaka 16 ambaye jina lake halijatajwa kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka 4 na kufariki dunia, tukio ambalo limetokea Novemba 10, 2021 saa 3:00 asubuhi maeneo ya Chamazi Mbande, Temeke.

FB_IMG_1636687386935.jpg
 
Back
Top Bottom