CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Imeshuja. Haina ishu.
Imeshuja. Haina ishu.
Ishachuja hii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2007011
Imechuja kwa mujibu wa nani? Kwani hakuna members wapya?Hii imeshachuja. Tafuta mpya.
Good question.Imechuja kwa mujibu wa nani? Kwani hakuna members wapya?
Are you offended? Naamini hii ni forum huru, hiyo power ya ku-dictate nipost kitu gani unaitoa wapi.Hii ni mara ya 60 hii picha kuwekwa humu. Tafuta mpya.
Nayo ishatumwa humu majuzi tu.
We mbingu utaisikia kwenye TV tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kikubwa ku focus tu[emoji41]View attachment 2007227
Don't engage....Are you offended? Naamini hii ni forum huru, hiyo power ya ku-dictate nipost kitu gani unaitoa wapi.
Nipe 'ban' kama una uwezo huo or you can opt not to see my posts. View attachment 2007209
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Nayo ishatumwa humu majuzi tu.