Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,133
Ujumbe murua toka kwa chinga.
Mfuko wa kuhifadhia Tango [emoji23][emoji23].......hawa wezi hawana maana kabisa, washakwiba hadi mfuko uko empty!View attachment 2006144
Hana adabu huyo kikongwe, al manusura angelipua ndege ya watu
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo akikutwa na nyegere ndiyo basi tenaKwa huu msosi huyu mwamba anaweza kukaa hata mwezi aki-digest alichomeza ....
View attachment 2006189
Busu la kifoMimi kamwe sitakaa nikuumize kama hao maeksi wako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2006195
Kuna kitu kinaitwa mbaraga hapo kimemis[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko napambania penzi la Mnyaki ndugu zangu. Dua zenu wapendwa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2006149
Kuna siku nilikua napita zangu mtaa flan hivi nakuta wameweka music eti sijui nini MWANAMKE kabalikiwa weee nilichange njia mbavuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio wadada tu hata Kwny kundi kubwa kama Ilo liwe la wanawake lazima mtu utembee miendo ya Aina tofaut tofaut
Cha kukusaidia mwanamke uwe na booty ndongo kiasi apo utakosa miluzi ila kama una big booty aseeee utakuwa na Hali ngumu..
Ndio maana yakeBegi lijae hilo[emoji1787][emoji1787]