Nami uniite kwenye huo uzi, maana na ushuhudaHili swali ni la kiboya sana na halipaswi kuulizwa...na hata likiulizwa linapaswa kujibiwa kwa uangalifu sana. Naliandikia uzi kabisa ili niwachane wanaume wenzangu waache kuliuliza; na niwape mwongozo wa kisaikolojia mabinti jinsi ya kulijibu.
Kila mwanaume anatamani sana binti anayekutana naye (hasa kama lengo lake siyo kumla tu na kusepa) awe hajaguswa (hata kama yeye kagusa kila kona). Kutokana na premise hii, hata kama angepewa namba ndogo kwa kadri inavyowezekana, bado ataumia tu. Sasa akikutana na hawa mabinti wa kisasa hawa ambao hawajafundwa, atapewa mpaka saizi ya mshedede wa ex, alivyokuwa anapelekewa moto na ex mpaka anaona rangi rangi, jinsi alivyokuwa anajaribu kuifinyia kwa ndani anashindwa...na utopolo mwingine. Kama lengo la brod ni kula tu basi atabaki ili naye apige halafu asepe lakini kama ni muoaji anaweza kudhurika jumla akaona hapa hakuna kitu hapa...
Nitakutag mtumishi mwema uzi ukikamilika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Zamani kidogo SHIMBA aliwahi kuitolea maelezo picha hii na yale yaliyompata tukiwa kwenye uzi furani.Huyu tayari.. Mwanza harudi tena huyu! Sijui ni Shimba!?[emoji28][emoji1550]
Kiburi cha Nyerere tu sasa hivi tungekuwa tumeungana na Rwanda dah!Kwa hakika visiti RuandaaView attachment 2005642
Isije ikapunguza na nguvu za kiume tu,Yah. Kupunguza.. Sio kuongezaView attachment 2005096
Kila kitu kinachangamoto zake,Polisi nchini Kenya wanamshikilia Mwanamke aitwaye Virginia Wangui Thiga kwa tuhuma za kumchanganyia dawa za kulevya kwenye kinywaji Mwanaume na kisha kumuibia Ksh. Milioni 1 (Tsh. Milioni 20.5)
"Mwanaume aliyeibiwa alikwenda Embakasi Club na Rafiki yake wa kiume wakakutana na huyu Virginia akiwa na Rafiki yake wa kike na wakawaomba wajumuike nao wakawa wanne wanakunywa pamoja"
"Baadaye yule Mwanaume (Rafiki wa Mtu ambaye pesa zake zimeibwa) akaondoka zake na kumuacha huyu Kijana akiwa na Wanawake wawili wakiendelea kunywa ghafla akazima (kupoteza kumbukumbu) amekuja kushtuka kajikuta ameibiwa simu, ATM Card na vitambulisho vingine, na akabaini kuwa Ksh. Milioni 1 imetolewa kwenye akaunti yake"
"Tumemkamata Virginia tunaendelea kumuhoji na upepelezi mwingine bado unaendelea kama kuna wengine watakaopaswa kuhojiwa pia tutawahoji" ——— DCI
#MillardAyoUPDATESView attachment 2005104
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji870].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila la kheri kwake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kila la kheri kwake.
Apite njia za watangulizi wake, Josep Pep Guardiola na Luis Enrique, ambao wameitendea haki klabu yao.
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app