Hii nimecheka sana aisee,afu hao watu kwa kuwasema wenzao kwamba wanapenda kulala, wakati wao wamenunua mpaka mapajama kuonesha kwamba wapo serious na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]View attachment 1998824
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Fasta nilishawaza 'mawazo potofu' so caption ndiyo ikanifanya niangalie 'bila mawazo potofu'.Acha mawazo potofu umbwa ww.View attachment 1998620
Bob.Usimsahau mzee M7View attachment 1998360
[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani kuna michezo inafanyika kutupora bundle kibabeKesi ya uhujumu uchumi inawahusu hawa,wanatuibia sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Na huku anatabasamu kama hiviii,walah naponaaaView attachment 1998574