Vituko mitandaoni. Tupia chako

5=30
4=20
3=12
2=6View attachment 1994700
I stand to be corrected.
Sijakupinga kwa sababu sijui mtunzi alikuwa na maana gani nyuma ya hilo swali; binafsi kama ndiyo pepa ningejibu 12 pia. Niliona tu google wasomi wakijadili juu ya option nyigine ambayo jibu linakuwa 18
Ukitumia formula ya Ax(namba ya juu)
9×10=90
8×9=72
7×8=56
6×7=42
3×6=18.

Wengine wakasimply tu hivi
9×10-(9×0)=90
8×10-(8×1)=72
7×10-(7×2)=56
6×10-(6×3)=42
3×10-(3×4)=18

Na wengine wakadai 3=3. Kwa sababu kimahesabu kila namba ni sawasawa na namba yenyewe binafsi. 9 haiwezi kuwa sawasawa na 90
 
Wanahisabati katika ubora wenu. Hujambo Mtumishi? Nakutakia mwezi mpya wenye mibaraka kwako na wapendwa wako. Nikumbuke kumbuke katika maombi na mifungo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…