Watu wanakera sana,[emoji35][emoji35]Bro niazime gari nitaweka wese.View attachment 1993071
Jaman huyu mkaka amekosa boxer, na huyu bidada kuvaa sdria amelala n vp mbona anajitesa 🤨Kuna raia ni washenzi sana,mipiga chabo siyo mijitu mizuri.View attachment 1992517
Hahhahahahahahaha jaman hapana s kwa chapat za kijani 🤣🤣🤣🤣🤣Mbeya City[emoji23]View attachment 1993107
Nimecheka kifala aisee, dah!Mbeya City[emoji23]View attachment 1993107
Mimi hata akitaka kwenda nayo kanisani kwa kuwa nime download biblia versions zote achukue tu na simu zangu apokee, no worries.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1993101
Bob Mugabe, the man and half.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1993097