Umejuaje yuko naked[emoji1787]
Kwakweli huyo ndiyo mwenyewe anayefaa kuwekwa nyumbani[emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787]View attachment 1987956
Ila wanaume wengi wanababaishwaga na wanawake weupe sijui tu kwanini. Africa wanawake weusi wengi ndiyo wazuri.Black is beautiful...
View attachment 1987894
Daah mashabiki wa Simba siku hizi wamekuwa na mambo ya ajabu sana bora hata Yanga. Mpira wa bongo taabu sana.Simba safari hii wamelamba dume [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1987896
Say hallelujah [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kwakweli huyo ndiyo mwenyewe anayefaa kuwekwa nyumbani[emoji122][emoji122]
Hahahaha[emoji23]Huko Dodoma nasikia kuna first year kauziwa CONTROL NUMBER.
Mbinguni tutafika wachache sana.View attachment 1988061
Mshanajr nataka nikupm na jambo languHahahaha[emoji23]