Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Ujumbe bora kabisa wa kumalizia siku. The true character of a man is measured by how he treats others who cannot repay him...na thawabu za kweli hupatikana kwa kusaidia wengine hasa ambao hawawezi kuturudishia fadhila hizo...Muwe na usiku mwema na mafanikio mema maishani,tusaidie watu,ila tusitegemee fadhila kwao.View attachment 1987806


Watu walivutiwa sana na wanafunzi wenye changamoto (viziwi, bubu, vipofu, viwete...) waliojipanga mabarabarani ili kumuaga huyu mwamba katika safari yake ya mwisho. Kumbe alikuwa anasomesha wengi tu kimya kimya. Mfano wa kuigwa 











