Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Waliomsifia furani ndiyo ambao leo. Wanamzomea.
Usikubali sifa kiboya boya
FB_IMG_1635146013159.jpg
 
Tupo hapa. Niliiba sigara ya tumbaku ya mzee mmoja hivi na kiberiti chake hiki nikaenda mahali nikawasha eti nipashe weee! Nilipiga pafu moja tu ya nguvu kifua kikabana nikakohoa mfululizo ikabidi waje kutoa msaada. Sijui ilikuwa tumbaku gani ile! Baada ya kutengamaa kibano kikali kikafuatia. Na kutoka siku hiyo sijagusa sigara tena. Kiberiti hicho kina laana wallahi
 
Hahaha
 
Ilishanitokea hii...ila kumbe binti alikuwa anashushiwa kipigo cha kufa mtu na njemba yake mpya...na alilazimishwa kupiga. Kahuruma kaliniingia nilivyoona jinsi alivyochanwa mdomo kwa ngumi japo pia kamoyo kengine kalikuwa kanajichekelesha "mwanakulifind mwanakuliget". Trash
 
Back
Top Bottom