Siyo bure...[emoji23][emoji23]
Anaenda kupigwa huyo[emoji23][emoji23]
Kamba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
Mbeya ni opposite [emoji16][emoji16][emoji16]
Na wewe ni Mnyaki? Kwa misambwanda kwa kweli hamna mpinzani katika hii Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata wewe hapo si ajabu upo unaburuta tu yaani...hongereni sana!Mtuwache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]