Achana na mambo ya simu mbili.
Huyu nae amekuwa kama manara tu,kila siku ni kulalamika. Kwani kuna aliyemlazimisha kuwekeza Simba,au ni kiherehere chake?!Anazurura huko duniani kudhalilisha timu yetu [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1981520