Huyu jamaa japo mnamsema sana na kumuotea ila sioni kikubwa kwake, kando na tukio la kuvamia kituo cha habari hamna kingine kikubwa alichonaswa kwenye CCTV, alikua mjanja na inaonekana alikua na washauri wazuri wa namna ya kuwa discrete.
Dogo Mmaasai alikua na ushamba na ubabe wa Kimaasai kwa kuweka vyote bayana, sasa naona bado mnafungua kesi zaidi, mtoto wa watu atateseka sana gerezani.