Hahaha hawezi kumrudia. Tatizo pops angu mbahili ndiyo maana kaachwa.
Na bi mdash mwenyewe kama unavyomjua mwanaume hata uwe mwema kiasi gani na hata uwe na muonekano anaoupenda ila kama una mkono wa birika sahau. Labda akupende bure kutoka moyoni.
Kitambo akiwa kijana kuna comment aliandikaga eti akimuita binti; on their first date anamnunulia tu kinywaji hakuna msosi. Kama ukifanikiwa kwenda next round ndiyo utaanza kununuliwa msosi; jamani nilicheka mweeh. Sasa ndiyo kakutana na bi mdashi mweeh