Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Siyo mfumo mzuri wala nini. Mwendazake hakuzijua siasa vizuri ndiyo maana miaka yote hii hakuweza kumng'amua ni nani alikuwa mole huko jikoni mpaka siri za moto zikawa zinavuja hovyo hovyo. Mama inaonekana siasa anazijua na kawarudisha akina Kigogo wote kwenye ulaji (Marope, Msoga gang etc) japo bado yule mbunge wa millet. Hatari sana siasa unaambiwa. Kulingana na unyeti wa siri zilizokuwa zikivuja tena kwa haraka ya kutisha, kuna hata wanaodai kuwa pengine hata mayū mwenyewe alikuwa kundini huko huko (rejelea ukaribu wake na Msoga Gang)...Mwendazake was alone na sitashangaa kama hata huko kwenda zake alisukumwa baada ya jamaa kupata kisingizio cha Covid [emoji2221]Mfumo wa kulinda taarifa wa bi mkubwa upo vzr sana jamaa aliturisha matango pori mwishowe kaona isiwe tabu
Mimi nakuja. Usije ukapotea mjukuuMshindwe nyie kuja songea sasa[emoji16]View attachment 1977048
Mkuu tuheshimiane pulizi [emoji51][emoji51][emoji51]Nilidhan msukuma
Wanamjua in and out. Hawezi kutoa siri kwasababu "mission accomplished "Mfumo wa kulinda taarifa wa bi mkubwa upo vzr sana jamaa aliturisha matango pori mwishowe kaona isiwe tabu
Sio mngoni.
Mbuzi wakatolik hawez tendwa alaf mtenda abak salama rejelea ishu ya mamvi na mwakyemSiyo mfumo mzuri wala nini. Mwendazake hakuzijua siasa vizuri ndiyo maana miaka yote hii hakuweza kumng'amua ni nani alikuwa mole huko jikoni mpaka siri za moto zikawa zinavuja hovyo hovyo. Mama inaonekana siasa anazijua na kawarudisha akina Kigogo wote kwenye ulaji (Marope, Msoga gang etc) japo bado yule mbunge wa millet. Hatari sana siasa unaambiwa. Kulingana na unyeti wa siri zilizokuwa zikivuja tena kwa haraka ya kutisha, kuna hata wanaodai kuwa pengine hata vaisi mwenyewe alikuwa kundini huko huko...Mwendazake was alone na sitashangaa kama hata huko kwenda zake alisukumwa [emoji2221]
Politics is a dangerous game !!!
.
Tena nauli ni ndogo kabisa yaan[emoji16]Mimi nakuja. Usije ukapotea mjukuu
MmmmmmhTena nauli ni ndogo kabisa yaan[emoji16]
Njoo tule na ugali babu[emoji16]
K-Vant kubwa[emoji1787]View attachment 1977169
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]No comment View attachment 1977006
Kunitisha tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko [emoji1787]
Utaja fia vifuani mwa wajukuu zako mzee mwenzangu. We tulia tu ulee wajukuu.Sijawahi kujaribu Mkongo mkuu ila nasikia inafanya kichwa cha dushe kiwe na ganzi na hivyo kufanya usipige bao mapema. Ila sasa bila ya kichwa kuwa sensitive hata sijui unapataje utamu. Kama kuna vijana waliowahi kutumia bila shaka wataleta ushuhuda.