Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Oh no![emoji56][emoji56][emoji120]Asante sana SHIMBA YA BUYENZE ...... kila kitu kiko poa. shida ni kuna mjanja aliniotea akapita na simu ndio maana nilipotea ghafla.
Asante mwaya[emoji120]Oh no!
Hawa wajanja hawa wangejua jinsi wanavyoturudishaga nyuma basi tu. Pole sana!
Yaani hii gender kuna mtu mahali aliiaminisha kabisa kuwa ni haki yake kupewa hela. Eti bebi gani huna hela kha! [emoji15][emoji15][emoji15]
Jiongezeee sio mpaka shimba aanze kulialia [emoji851]Jamani jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]View attachment 1976662
Mdada mchovu
Hata buku hana [emoji706][emoji706][emoji706]Mdada mchovu
Kwamba?Jiongezeee sio mpaka shimba aanze kulialia [emoji851]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wahini ofa wote wenye mahusiano yanayosuasua!
View attachment 1976788