Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,899
- 136,564
Ee weka captionHatimaye umeiona

Ee weka captionHatimaye umeiona

Kweli niunguze data kwenda YouTube kuangalia hekalu la panya?Haya ni maajabu. Tazama panya wanavyoabudiwa. Waumini wanaamini ukimuona panya mweupe unabarikiwa zaidi![]()
Usisahau kugusa neno SUBSCRIBE ili kupata na kujua maajabu zaidi duniani
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app



Huyu ng'ombe naye boya tuMaisha tight hadi n'gombe nae anakwepa majukumu yaani.View attachment 1974882
Sent using Jamii Forums mobile app


. Sijui ng'ombe wa Dar huyu? 


Niliitisha kikao hamkufika mi nishazira. Katibu napendekeza achukue Espy na wewe uendelee na ucheamani. Na hakuna kuzira zira hovyoKabla ya kutuma meme inayohusu malastborn unalazimika kumtumia katibu wa chama cha malastborn Tanzania(CHAmaLaTA) ndugu ShimbaYaB ili aihakik km haiend kinyume na yalioainishwa kwenye katiba ya (CHAmaLaTA) ambayo haijaandikwa




Mamilioni yake ya dola yako salama huko Panama, UK, Solomon Islands...hana shida huyu na uzao wake!




Pole na wewePole kwa ban mkuu na karibu tena. Tulikula ban siku moja na kuachiliwa siku moja
Tena waziweke kwenye high definition kabisa hata wakitaka na credits, deleted scenes na bloopers nitawaongezea





