Kuna chain ya nguo tena kali sana inaitwa Mavi...
View attachment 1967053
Na kuna kinywaji mashuhuri sana huko Mexico na nchi za Latin America kinaitwa Mavi.
View attachment 1967055
Lugha - sauti za nasibu zilizokubaliwa na jamii-lugha ili zitumike katika mawasiliano yao. Ni sauti za nasibu kwa sababu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya neno na kitajwa au kirejelewa. Ndiyo maana neno moja (mf. mavi) linaweza kuwa na maana tofauti katika lugha mbalimbali.