Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Makanisani huko nako mhh!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeaga tokea saa mbili[emoji41]Na ulale kweli mjukuu. Nikikukuta bado unazunguka mitandaoni cha moto utakiona!
Huna net?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeaga tokea saa mbili[emoji41]
Babu,mmbu[emoji3]
[emoji23]wacha nilale[emoji2902][emoji2902][emoji2902]Huna net?
Unatafuta ugomvi tu wewe. Kalale
Ulale salama mjukuu [emoji1545][emoji1545][emoji23]wacha nilale[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
[emoji120][emoji849]Ulale salama mjukuu [emoji1545][emoji1545]
Tangu lini mwanaume wa Kibongo akakosa kasoro kwa mwanamke? [emoji51]Kitambi kwa mbali nakiona
Hapa kuna ibada kweli[emoji849][emoji849]Makanisani huko nako mhh!!!
View attachment 1964644
Kijana ana akili sana halafu Myahudi.Monopoly ni mbaya. Dogo kashikilia platforms zinazotumiwa na watu karibia bilioni 3+ (IG, FB, WHP). Si ajabu hata protokali za usalama ni zile zile kwa hivyo ukivunja ngome moja unaingia katika platforms zote. Naona tayari wanamkoromea wabunge wanamkoromea aivunje vunje FB na auze baadhi ya entities. Na mpango wake wa kuanzisha IG kwa ajili ya watoto tu umepingwa vikali mpaka ameachana nao!
Wayahudi ndo wanatawala dunia mkuu. Wametawala sana kwenye mabenki, biashara, filamu, tekinolojia na mambo ya habari na maarifa. Taifa teule la Mungu.Kijana ana akili sana halafu Myahudi.