Kama hayo hayo lakini yamefunikwa gubigubi[emoji23]Picha haijafunguka kwenye Tecno yangu. Ni yale mambo yetu ama?
View attachment 1963837
Mpaka sasa hakuna aliyeitikaWape salamu[emoji23]View attachment 1963845
Oooh kumbe..!Bila kupoteza biti:
"Huyo mwana namfahamu. Hilo Range walipewa na mama mkwe siku ya harusi yao. Mwana alibahatisha akaoa kwenye familia ya maana"
Mara nne tu [emoji41]
Na ba mjengo hana habari keshajilia vyake kwingine hukoooo[emoji28]Halafu kategesha utamu kweli..halafu kategesha mambo yote![emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh
Utapata dhambi[emoji41],
Namshusha akapande gari ya huyo mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23]
Japo ni risk kwa mtoto ila nimeipenda