Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Aaah! Mie namzingatia mmoja tuuu wala sina muda na wengine.











Wengine unataka tukazingatiwe na nani?
Aaah! Mie namzingatia mmoja tuuu wala sina muda na wengine.











Sijui hata kuna kanuni gazi za Fizikia zilizokuwa zinafanya kazi hapa.
Mimi hadi leo huwa nachezea hiki kidude aisee. Pamoja na ule wa kutengeneza maumbo tofautitofauti kwa kutumia uzi.Sijui hata kuna kanuni gazi za Fizikia zilizokuwa zinafanya kazi hapa.
Halaf wote kumbe wazee wa "one team one dream"


,hata hawaoneani huruma ktk kipindi hiki misuko suko ya klabu


nawaza vile ananyolewa jinsi atavyovutwavutwa nyama hzoEti jamani? Hili nalo neno
Wengine unataka tukazingatiwe na nani?


