Ukiona mtu anakuomba picha kamili ameanza kukuhusu, baada ya muda nawe utamuhusu.Duuh sasa uviangalie we Vinakuhusu nini
Wanataka wakuthaminishe vizuriKwa kweli watu wanaong'ang'aniaga Picha full huwa siwaelewagi kabisa yani
Basi kabla ya kuomba yangu tuma ya kwako kwanza[emoji16]Ukiona mtu anakuomba picha kamili ameanza kukuhusu, baada ya muda nawe utamuhusu.
Ni juu yako kutimiza matakwa yake ya awali ili muhusiane[emoji23][emoji23]
Kazi inaanzia hapo..
Tunasubiri kwa hamu mkataba wa Zanzibar one au Azam sea ferryBado majini
Mbona inawezekana tu.Basi kabla ya kuomba yangu tuma ya kwako kwanza[emoji16]
Nawewe ukiwa miongoni mwa wanaomaanisha hovyo [emoji16]Mafuta nayaelewa haya[emoji116],,vile tu raia wanamaanisha hovyo,View attachment 1951487
TakrimaInaitwaje??View attachment 1951076
[emoji16][emoji16]Mbona inawezekana tu.
Ila mara nyingi wadada hawanaga shida na picha zetu, wana shida na nauli, na itumwe na yakutolea [emoji23][emoji23]