Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ubaya siku hizi haya mambo wameyageuza kama mashindano. Pressure tupu utafikiri mtu unafanya homework. Hela umpe na bado uhangaike kumfikisha kileleni. Mimi kama amenilipisha pesa au magharama mengine huko hata nitumie sekunde moja I am done. Atakwenda akafikishwe kileleni na mabaharia zake huko.Itamuuma anayetaka sifa,ila aliyeenda kutii kiu yake hata ikiweka tu ikatema,anakua keshamaliza.
Ung'ang'ane na shimo ambalo hujui udongo wake ulitupwa wapi!!?![]()
Tendo zuri na lenye karama sana limegeuzwa kuwa mashindano badala ya intimacy na kufurahia...



